Weka nakala za kwanza.
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye kichapishi.
Teua Changanua > Kifaa cha Kumbukumbu kwenye paneli dhibiti.
Unda mipangilio ya utambazaji.
Teua
ili kuhifadhi mipangilio yako kama iliyowekwa awali.
Donoa
.