> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kufuta Vibambo Vyekundu wakati wa Kunakili

Kufuta Vibambo Vyekundu wakati wa Kunakili

Unaweza kutoa nakala na vibambo vyovyote vyekundu katika nakala asili zilizofutwa.

Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi.

Muhtasari wa Futa rangi nyekundu

Muhimu:

Kipengele hiki kinaweza kutumiwa kwa kusajili ufunguo wa leseni.

Kumbuka:
  • Ukiteua Rangi kama mtindo wa rangi, nakala yenyewe itakuwa katika rangi moja, lakini inahesabiwa kama nakala ya rangi.

  • Ukiteua Oto kama mtindo wa rangi na kitambaza kimegundua kuwa nakala asili ni ya rangi, inahesabiwa kama nakala ya rangi hata kama nakala yenyewe ni ya rangi moja.

  • Kulingana na asili, nyekundu inaweza kuwa haijafutwa kikamilifu. Pia, rangi ambazo zinakaribia rangi nyekundu, kama vile chungwa, zinaweza kufutwa au kubadilishwa na nyeusi nyepesi.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uwezeshe Futa rangi nyekundu.

    Kumbuka:

    Skrini ya uhakiki inaonyesha picha ya asili kabla ya vibambo vyekundu kufutwa.

  4. Donoa .