| Mipangilio ya Huduma ya Wavuti | ||||||
| Hdma za Kuunginsha Epson |
Huonyesha kama printa imesajiliwa na imeunganishwa kwenye Epson Connect. Unaweza kusajili kwenye huduma kwa kudonoa Sajili na ufuate maagizo. Kwa miongozo ya matumizi, tazama tovuti ifuatayo ya kituo. http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake) Wakati umesajiliwa, unaweza kubadilisha mipangilio ifuatayo. |
|||||
| Sitisha/Endelea |
Teua iwapo utasitisha au kuendelea na huduma za Epson Connect. |
|||||
| Batilisha usajili |
Hutoa printa kwenye huduma za Epson Connect. |
|||||