> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Karatasi > Karatasi Inayopatikana na Uwezo > Karatasi Halisi ya Epson kwa Amerika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini

Karatasi Halisi ya Epson kwa Amerika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini

Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.

Kumbuka:
  • Karatasi halali ya Epson haipatikani unapochapisha kwa kiendeshi cha kichapishi cha kimataifa cha Epson.

  • Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu aina za karatasi zinazopatikana kwa uchapishaji wa pande 2.

    Karatasi la Kuchapishwa Upande 2

  • Wakati unachapisha kwenye karatasi halisi ya Epson kwa ukubwa uliowekwa na mtumiaji, mipangilio ya ubora wa chapa wa Wastani au Normal ndio hupatikana tu. Ijapokuwa baadhi ya viendeshi vya printa hukuruhusu uchague ubora wa juu wa chapa, chapa huchapishwa kwa kutumia Wastani au Normal.

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Karatasi ya Epson Bright White/Karatasi ya Epson Bright White Pro

Letter

250

500

150

Karatasi ya Epson Bright White Premium

Letter

250

500

150

Karatasi ya Epson Multipurpose Plus

Letter

250

500

150

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka na picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Karatasi ya Epson High Quality Ink Jet

A4, Letter, Legal, US B (11×17 in.), A3+

-

-

130

Epson Presentation Paper Matte

Epson Premium Presentation Paper Matte

8×10 in. (203×254 mm), Letter, A3, 11×14 in. (279×356 mm)

-

-

35

Karatasi linalofaa kwa kuchapisha picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Epson Ultra Premium Photo Paper Glossy

4×6 in. (102×152 mm), 5×7 in. (127×178 mm), 8×10 in. (203×254 mm), Letter

-

-

35

Epson Premium Photo Paper Glossy

4×6 in. (102×152 mm), 5×7 in. (127×178 mm), 8×10 in. (203×254 mm), Letter, 11×14 in. (279×356 mm), A3, US B (11×17 in.), 16:9 (4 ×7.11 in. [102 ×181 mm])

Epson Premium Photo Paper Semi-gloss

4×6 in. (102×152 mm), Letter, A3+

Epson Photo Paper Glossy

4×6 in. (102×152 mm), A4, Letter, US B (11×17 in.), A3+

Aina nyingine mbalimbali za karatasi

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Epson Photo Quality Self Adhesive Sheets

A4

-

-

1