> Kutuma Faksi > MuhtasarMuhtasari wa Vipengele vya Faksi vya Kichapishi hiki > Kipengele: Usalama wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi

Kipengele: Usalama wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi

Unaweza kutumia vipengele vingi vya usalama.

Unaweza kutumia vipengele vingi vya usalama kama vile Vikwazo vya Kupiga Moja kwa moja ili kuzuia utumaji katika ufikio usio sahihi, au Uondoaji Data ya Chelezo Kiotomatiki kuzuia uvujaji wa maelezo.

Mipangilio ya Usalama

Mipangilio ya Kisanduku ya Kufuta Hati:

Chaguo za Menyu kwa Kasha la Faksi

Unaweza kuweka nenosiri kwa kila kisanduku cha faksi ndani ya kichapishi.

Mipangilio ya Nenosiri la Kisanduku pokezi:

Chaguo za Menyu kwa Kasha la Faksi