Unaweza kuhifadhi taswira iliyotambazwa kwenye kompyuta iliyounganishwa kwenye kichapishi, kwa kutumia kipengele cha WSD.
Kipengele hiki hupatikana tu kwa kompyuta zinazotumia Windows Vista au baadaye.
Ikiwa unatumia Windows 7/Windows Vista, unahitaji kusanidi kompyuta yako mapema kwa kutumia kipengele hiki.
Weka nakala za kwanza.
Teua Changanua > WSD kwenye paneli dhibiti.
Teua kompyuta.
Donoa
.