Baadhi ya vipengee haviwezi kupatikana kulingana na mbinu ya kuchanganua uliyochagua au mipangilio mingine uliyoweka.
Chaguo za Menyu za Utambazaji
Hali ya Rangi
Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu.
Umbizo la Faili
Teua umbizo la faili.
Mpangilio wa Ukurasa
Unapochagua PDF, Compact PDF, PDF/A, Compact PDF/A, au TIFF kama umbizo la faili, teua iwapo utahifadhi nakala zote asili kama faili moja (kurasa nyingi) au uhifadhi kila nakala asili moja baada ya nyingine (ukurasa mmoja).
Mgao wa Mfinyazo
Teua kiwango cha kubana taswira.
Mipangiliuo ya PDF
Unapoteua PDF kama mpangilio wa kuhifadhi umbizo, tumia mipangilio hii kulinda faili za PDF.
Ili kuunda faili ya PDF ambayo inahitaji nywila wakati wa kufungua, weka Nenosiri la Kufungua Hati. Ili kuunda faili ya PDF ambayo inahitaji nenosiri wakati wa kuchapisha au kuhariri, weka Nenosiri la Vibali.
Mwonekano
Teua ubora wa uonyeshaji wa uchanganuzi.
Pande 2
Tambaza pande zote za nakala asili.
Mwelekeo (Asili):
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Ufungaji(Asili):
Teua mwelekeo wa kuweka pamoja wa nakala asili.
Eneo la Kutambaza
Teua eneo la kutambaza. Ili kutambaza katika eneo nzima ya glasi ya kitambazaji, teua Upeo wa Eneo.
Mwelekeo (Asili):
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Aina Asili
Teua aina ya nakala yako asili.
Mwelekeo (Asili)
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Na. Asili zina Mch'o
Unaweza kuweka mchanganyiko ufuatao wa ukubwa kwenye ADF kwa wakati mmoja.
A3 na A4
B4 na B5
A4 na A5
Unapotumia michanganyiko hii, nakala asili zinatambazwa kwa ukubwa halisi wa nakala asili. Weka nakala zako asili kwa kupanga upana wa nakala asili kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
Uzito
Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.
Ondoa Mand'yuma
Teua ukolevu wa mandharinyuma. Donoa + ili kuongeza mwangaza (weupe) kwenye mandharinyuma na udonoe - ili kuikoleza (kuongeza weusi).
Iwapo utateua Oto, rangi za mandharinyuma za nakala asili zimetambuliwa, na zinaondolewa au kufifishwa kiotomatiki. Haitekelezwi sahihi iwapo rangi ya mandharinyuma ni kolevu zaidi au haijatambulika.
Ondoa Kivuli
Ondoa vivuli vya nakala asili ya ambavyo vinaonekana katika taswira iliyotambazwa.
Fremu:
Ondoa vivuli katika ukingo wa nakala asili.
Katikati:
Ondoa vivuli vya pambizo za kuweka pamoja vya kijitabu.
Ond. Mas'o ya Panchi
Ondoa mashimo ya panji ambayo yanaonekana kwenye taswira iliyotambazwa. Unaweza kubainisha eneo la kufuta mashimo ya panji kwa kuingiza thamani kwenye kikasha upande wa kulia.
Mkao wa Kufuta:
Teua mkao ili kuondoa mashimo.
Mwelekeo (Asili):
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Ruka Kurasa Tupu
Ruka kurasa tupu unapochanganua ikiwa kuna zozote kwenye nakala asili.
Ikiwa matokeo sio uliyotarajia, rekebisha kiwango cha ugunduzi.
Kumbuka:
Baadhi ya kurasa zinaweza kurukwa kimakosa kama kurasa tupu.
Uta'ji Unao'a ADF
Unaweza kuweka idadi kubwa ya nakala asili kwenye ADF katika bechi, na kuzitambaza kama kazi moja ya utambazaji.
Kadi ya ID
Huchanganua pande zote mbili za kitambulisho kwa kutumia kioo cha kichanganuzi kisha kuzihifadhi kwenye picha moja.
Ili kuchanganua pande zote mbili, fuata hatua zilizo hapa chini.
1. Weka kitambulisho kikiangalia chini na uanze kuchanganua.
2. Baada ya kuchanganua upande huu, kigeuze, kiweke kwenye kioo cha kichanganuzi, kisha uguse Anza Kutambaza.
3. Wakati uchanganuzi umekamilika, gusa Hati Asili ya Mwisho ili uhifadhi picha.
Kumbuka:
Unapotumia kipengele hiki, ukubwa wa picha unatofautiana kutegemea na mipangilio Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Chaguo la Utambuaji Oto wa Ukubwa Asili.
Wakati Kipaumbele cha Ukubwa wa Metriki imechaguliwa: A4
Wakati Aula ya Ukubwa wa Inchi imechaguliwa: Letter
Wakati Kipaumbele cha Ukubwa wa K imechaguliwa: 16K
Mwelekeo (Asili):
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Futa rangi nyekundu
Ondoa vidokezo vykundu kwenye picha iliyochanganuliwa.
Kipengee hiki hakipatikani unapotumia menyu ya Kompyuta.