Wakati uchapishaji una uchafu au kuchakaa, safisha kibiringizaji kiicho ndani.
Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani ya kichapishi. Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.
Pakia karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika chanzo cha karatasi ambacho unataka kusafisha.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Matengenezo > Usafishaji wa Mwongozo wa Karatasi.
Chagua chanzo cha karatasi, na kisha ufuate maagizo kwenye skrini ili usafishe njia ya karatasi.
Rudia utaratibu huu hadi karatasi iwache kucahfuliwa na wino. Iwapo bado vicghapishi vina uchafu au kuchakaa, safisha vyanzo vingine vya karatasi.