Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Chapa
Kumbuka:
Kwenye skrini ya Web Config, unaweza kutafuta menyu hapa chini.
Kichupo cha Fax > Print Settings
Mipangilio ya Chapa
Upunguzaji Kiotomatiki
Huchapisha faksi zilizopokewa kwa nyaraka za ukubwa zaidi uliopunguzwa ili kutoshea kwenye chanzo cha karatasi. Upunguzaji huenda usiwezekane kulingana na data iliyopokewa. Ikiwa kipengele hiki kimezimwa, hati kubwa huchapishwa kwa ukubwa wake asili kwenye karatasi nyingi, au ukurasa tupu wa pili unaweza kutolewa.
Mipangilio ya Kugawanya Kurasa
Huchapisha faksi zilizopokewa kwa ya kugawa ukurasa wakati ukubwa wa nyaraka ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi iliyopakiwa kwenye kichapishi. Ikiwa kiasi kinachozidi urefu wa karatsi ni kidogo kuliko thamani iliyowekwa ndani ya Futa Data ya Uchapishaji Baada ya Kugawanya > Kizingiti, cha ziada kitatupwa. Ikiwa kiasi kinachozidi urefu wa karatasi ni zaidi ya thamani iliyowekwa, cha ziada kitachapishwa kwenye karatasi nyingine.
Futa Data ya Uchapishaji Baada ya Kugawanya
Futa Data ya Uchapishaji Baada ya Kugawanya
Teua eneo la hati ili ufute wakati kiasi kinazidi urefu wa karatasi ni chini ya thamani iliyowekwa katika Kizingiti.
Kizingiti
Ikiwa kiasi kinachozidi urefu wa karatasi ni chini ya au sawa na thamani hii, ziada hutupwa na hazichapishwi.
Pishana Ikigawanywa
Pishana Ikigawanywa
Wakati imewekwa On na data imegawanywa na kuchapishwa kwa sababu kiasi kinazidi Futa Data ya Uchapishaji Baada ya Kugawanya > Kizingiti, data iliyogawanywa huchapishwa kwa kutumia urefu unaolingana uliobainishwa katika Upana Unaopindana.
Upana Unaopindana
Data inayozidi thamani hii huchapishwa.
Uchapishaji Mbadala
Unda mipangilio ya kuchapisha wakati ukubwa wa warakawa faksi iliyopokewa ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi iliyopakiwa kwenye kichapishi.
Kuteua Washa(Gawanya kwa kurasa) hugawanya waraka kilongitudi ili kuchapisha waraka uliopokewa. Kuteua Washa (Punguza ili Itoshee) hupunguza hadi kiwango cha chini cha 50% ili kuchapisha.
Uzungushaji Kiotomatiki
Huzungusha faksi zilizopokewa kama nyaraka za ukubwa wa mwelekeo wa ulalo A4 (Herufi, B5, au A5), ili ziweze kuchapishwa kwenye karatasi ya ukubwa wa (Herufi, B5, au A5). Mpangilio huu unatekelezwa wakati mpangilio wa ukubwa wa karatasi kwa angalau chanzo kimoja cha karatasi kinachotumika kwa kuchapisha faksi kimewekwa A4 (B5, A5, au Herufi).
Kwa kuteua Zima, faksi zilizopokewa kama nyaraka za ukubwa wa mwelekeo wa ulalo A4 (Herufi, B5, au A5), ambazo zina upana sawa kama nyaraka za taswira ya A3 (Tabloid, B4, au A4), zinachukuliwa kuwa faksi za ukubwa wa A3 (Tabloid, B4, au A4) na kuchapishwa vivyo hivyo.
Angalia mipangilio ya chanzo cha karatasi kwa kuchapisha faksi na ukubwa wa karatasi kwa vyanzo vya karatasi kwenye menyu zifuatazo katika Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Mipangilio Chanzo Karatasi.
Mipangilio ya Uchaguaji Oto
Mipangilio ya Karatasi > Ukubwa wa Karatasi
Ongeza Maelezo ya Mapokezi
Maelezo ya mapokezi ya uchapisho kwenye faksi iliyopokewa, hata iwapo mtumaji hajaweka maelezo ya kichwa. Maelezo ya mapokezi yanajumuisha tarehe na saa, Kitambulisho cha mtumaji, Kitambulisho cha mapokezi (kama vile “#001”) na nambari ya ukurasa (kama vile “P1”). Kwa kujumuisha Kitambulisho cha mapokezo yaliyochapishwa kwenye faksi iliyopokelewa, unaweza kuangalia kumbukumbu ya wasilisho kwenye ripoti ya faksi na historia ya kazi ya faksi. Wakati Mipangilio ya Kugawanya Kurasa imewezeshwa, nambari ya kugawanya ukurasa pia inajumuishwa.
Pande 2
Pande 2
Huchapisha kurasa anuwai za faksi zilizopokewa katika pande zote za karatasi.
Pambizo ya Kufunga
Teua mwelekeo wa kuweka pamoja.
Muda wa Uchapishaji Kuanza
Teua chaguao ili kuanza kuchapisha faksi za kupokea.
Kurasa Zote Zimepokewa: Uchapishaji huanza baada ya kupokea kurasa zote. Ili kuanza kuchapisha kutoka kwenye ukurasa wa kwanza au ukurasa wa mwisho hutegemea na mpangilio wa kipengele cha Kitita cha Ulinganisho. Tazama ufafanuzi wa Kitita cha Ulinganisho.
Ukurasa wa Kwanza Umepokewa: Huanza kuchapisha ukurasa wa kwanza kupokewa, na kisha huchapisha kwa utaratibu kama kurasa zinapokewa. Iwapo kichapishi hakiwezi kuchapisha, kama vile wakati inachapisha kazi nyingine, kichapishi huanza kuchapisha kurasa zilizopokewa kama bechi zinapopatikana.
Kitita cha Ulinganisho
Kwa kuwa ukurasa wa kwanza unachapishwa mwisho (towe upande wa juu), nyaraka zilizochapishwa zinawekwa pamoja kwenye utaratibu sahihi wa ukurasa. Wakati kumbukumbu ya printa inapungua, kipegele hiki huenda kizipatikane.
Saa ya Kusitisha Chapa
Saa ya Kusitisha Chapa
Wakati wa kipindi kilichobainishwa cha muda, kichapishi huhifadhi nyaraka zilizopokewa kwenye kumbukumbu ya kichapishi bila kuzichapisha. Kipengele hiki kinaweza kutumiwa kuzuia kelele usiku au kuzuia hati za usiri kufichuliwa wakati uko mbali. Kabla ya kutumia kipengele hiki, hakikisha kuna kumbukumbu ya kutosha. Hata kabla ya wakati wa kuanzisha upya, unaweza kuangalia na kuchapisha hati zilizopokewa kutoka Hali ya Kazi kwenye skrini ya nyumbani.
Muda wa Kukomesha
Husitisha kuchapisha nyaraka.
Wakati wa Kuanzisha upya
Huwasha upya uchapishaji nyaraka kiotomatiki.
Hali Tulivu
Hupunguza kelele ambazo kichapishi hutoa unapochapisha faksi, hata hivyo, kasi ya kuchapisha inaweza kupunguzwa.