Machaguo ya Menyu ya Kuchapisha kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu
Machaguo ya Menyu ya Kuchapisha kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu
JPEG
:
Mpangilio wa Kuonyesha
Weka mipangilio ya kupanga, kuteua, na kuondoa tiki kwenye faili.
Ya hivi majuzi hadi ya zamani
Huonyesha faili katika mpangilio wa kutoka chini hadi juu.
Ya zamani hadi ya hivi majuzi
Huonyesha faili katika mpangilio wa kutoka juu hadi chini.
Chagua Picha Zote
Teua picha zote kwenye skrini.
Ghairi Uchaguzi wa Picha
Ondoa uteuzi wa picha zote kwenye skrini.
Chagua Kikundi
Teua picha kwa pamoja kwa kila kikundi. Iwapo kifaa cha kumbukumbu kinajumuisha zaidi ya picha 999, picha zinawekwa pamoja kwa tarehe.
Mipangilio Msingi
Mipangilio ya K'si
Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambayo unataka kuchapisha kwenye.
Hali ya Rangi
Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye N. na N'pe au Rangi.
Mahiri
Mpangilio
Teua njia ya muundo wa faili za JPEG. 1-juu ni ya kuchapisha faili kwa kila ukurasa. 20-juu ni ya kuchapisha faili 20 kwa kila ukurasa. Kiolezo ni ya kuunda uchapishaji wa kiolezzo kwa maelezo.
Tosheza Fremu
Teua On ili kupuna picha ili kuteshea kwenye muundo wa chapisho ulioteuliwa kiotomatiki. Ikiwa mgao uwiano wa data ya picha na ukubwa wa karatasi ni tofauti, picha hupanuliwa au kupunguzwa kiotomatiki ili pande zile fupi zilingane na pande fupi za karatasi. Upande mrefu wa picha hukatwa ikiwa unazidi upande mrefu wa karatasi. Kipengele hiki huenda kisifanye kazi kwa picha za panorama.
Ubora
Teua Bora kwa ubora wa juu wa uchapishaji, lakini kasi ya uchapishaji inaweza kupungua.
Tarehe
Teua umbizo la tarehe ambayo picha ilipigwa au kuhifadhiwa. Tarehe haichapishwi kwa baadhi ya miundo.
Tatua Picha
Teua modi hii ili kuboresha ung’avu, ulinganuzi, na ueneaji wa picha kiotomatiki. Zima uboreshaji otomatiki, teua Uboreshaji Umezimwa.
Tatua Jicho Nye'du
Teua On ili kurekebisha athari ya jicho jekundu kwenye picha kiotomatiki. Marekebisho hayatekelezwi kwenye faili asili, kwenye machapisho tu. Kulingana na aina ya picha, sehemu za picha kando na macho zinaweza kurekebishwa.
PDF
:
Hubadilisha mpangilio wa faili.
Mipangilio Msingi
Mipangilio ya K'si
Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambacho unataka kuchapisha kwacho.
Hali ya Rangi
Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye N. na N'pe au Rangi.
Mahiri
Pande 2
Pande 2
Teua On ili kuchapisha faili PDF kutumia uchapishaji wa pande 2.
Ufungaji(Nakala)
Chagua mwelekeo ambao kurasa zinafungukia wakati wa kuchapisha pande zote mbili.
Agizo la Chapa
Teua mpangilio ya uchapishaji wa kurasa anuwai wa faili.
TIFF
:
Hubadilisha mpangilio wa faili.
Mipangilio Msingi
Mipangilio ya K'si
Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambayo unataka kuchapisha kwenye.
Hali ya Rangi
Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye N. na N'pe au Rangi.
Mahiri
Mpangilio
Teua jinsi mpangilio wa faili ya Multi-TIFF. 1-juu ni ya kuchapisha ukurasa mmoja kwa kila laha. 20-juu ni ya kuchapisha kurasa 20 kwa kila laha moja. Kiolezo ni ya kuunda uchapishaji wa kiolezzo kwa maelezo.