> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Vipimo vya Data Vinavyoauniwa

Vipimo vya Data Vinavyoauniwa

Umbizo la Faili

JPEGs (*.JPG) kwa Toleo wastani la Exif 2.31 linalopigwa na kamera za kidijitali za DCF*1 za uzingatiaji wa 1.0 au 2.0*2

Picha zinazotangamana na TIFF 6.0 kama ilivyobainishwa hapa chini

  • Picha za rangi kamili za RGB (hazijafinyazwa)

  • Picha jozi (hazijafinywa au kusimbuliwa kwa CCITT)

Faili ya data inayotangamana na PDF Toleo la 1.7

Ukubwa wa Taswira

Mlalo: pikseli 80 hadi 10200

Wima: pikseli 80 hadi 10200

Ukubwa wa Faili

Chini ya GB 2

Idadi ya Juu ya Faili

JPEG: 9990*3

TIFF: 999

PDF: 999

*1 Kanuni ya ubunifu wa mfumo wa Faili ya Kamera.

*2 Data ya picha iliyohifadhiwa kwenye kamera za dijitali zenye kumbukumbu iliyoundiwa ndani haikubaliwi.

*3 Hadi faili 999 zinaweza kuonyeshwa kwa wakati mmoja. (Iwapo idadi ya faili inazidisha 999, faili zinaonyeshwa katika vikundi.)

Kumbuka:

×” inaonyeshwa kwenye skrini ya LCD wakati kichapishi hakiwezi kutambua faili ya taswira. Katika hali hii, iwapo utateua muundo anuwai wa taswira, sehemu tupu zitachapishwa.