Suluhisho
Unaweza kufuta rangi nyekundu kwa kuweka Ondoa Mand'yuma kuwa +3 au +4 katika menyu ifuatayo kwenye paneli dhibiti.
Nakili > Mahiri > Ubora wa Taswira > Ondoa Mand'yuma