Kunakili Bahasha

Unaweza kunakili bahasha.

Hakikisha bahasha zimepakiwa katika mwelekeo sahihi.

  • Kupakia karatasi

    Angalia maelezo husika.

    Kupakia Bahasha

  • Kuweka nakala asili

    Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji. Unapoweka bahasha, iweke katika mwelekeo ulioonyeshwa kwenye mfano.