Teua Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Usambazaji > Chaguo (au Kiendeshi).
Unda mipangilio kulingana na aina ya kitengo cha hiari.
Bofya SAWA.