Vipengee Vinavyoweza Kuwekwa Kibinafsi

Msimamizi anaweza kuruhusu vipengee vilivyo hapa chini kuonyeshwa na kubadilisha mipangilio kibinafsi.

  • Ufikiaji wa kumbukumbu ya Kazi:Hali ya Kazi > Kumbukumbu

    Dhibiti onyesho la hali linafuatilia historia ya kazi. Teua On ili kuruhusu kuonyeshwa kwa historia ya kazi.

  • Fikia ili uweze Kuwasajili/Kuwafuta Waasiliani:Mipangilio > Kisimamia Waasiliani > Ongeza/Hariri/Futa

    Dhibiti usajili na kubadilisha waasiliani. Teua On ili kusajili au kubadilisha waasiliani.

  • Ufikiaji wa hivi karibuni wa Faksi:Faksi > Mpokeaji > Hivi karibuni

    Dhibiti mwonyesho wa ufikio wakati wa kutuma na kupokea faksi. Teua On ili kuonyesha ufikio.

  • Ufikiaji wa Batli ya Usambazaji Faksi:Faksi > > Kumbukumbu ya Upitishaji

    Dhibiti onyesho la historia ya mawasiliano ya faksi. Teua On ili kuonyesha historia ya mawasiliano.

  • Ufikiaji wa Ripoti ya Faksi:Faksi > > Ripoti ya Faksi

    Dhibiti uchapishaji wa ripoti ya faksi. Teua On ili kuruhusu kuchapisha.

  • Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Kuh. Cha. kwa Folda/FTP ya Mt'o:Changanua > Folda/FTP ya Mtandao > Mfikio > Eneo

    Dhibiti uchapishaji wa historia ya kuhifadhi kwa utambazaji kwenye kitendaji cha kabrasha la mtandao. Teua On ili kuruhusu uchapishaji.

  • Ufikiaji wa hivi karibuni wa Changanua kwa Barua pepe:Changanua > Barua pepe > Mpokeaji

    Dhibiti onyesho la historia kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua On ili kuonyesha historia.

  • Ufikiaji wa Onyesha Historia ya Zil'tumwa ya Cha. Barua pepe: Changanua > Barua pepe >Menyu > Onyesha Historia ya Kutuma

    Dhibiti onyesho la historia ya kutuma barua pepe kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua On ili kuonyesha historia ya utumaji barua.

  • Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Zil'tumwa ya Cha. Barua pepe: Changanua > Barua pepe > Menyu > Chapisha Historia ya Kutuma

    Dhibiti uchapishaji wa historia ya kutuma barua pepe kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua On ili kuruhusu uchapishaji.

  • Ufikiaji wa Lugha: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Lugha

    Dhibiti mabadiliko ya lugha iliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti. Teua On ili kubadilisha lugha.

  • Ufikiaji wa Karatasi Nyembamba: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Karatasi Nyembamba

    Dhibiti mabadiliko ya mipangilio ya kitendaji cha Karatasi Nyembamba. Teua On ili kubadilisha mipangilio.

  • Ufikiaji wa Hali Tulivu: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Hali Tulivu

    Dhibiti mabadiliko ya mipangilio ya kitendaji cha Hali Tulivu. Teua On ili kubadilisha mipangilio.

  • Ulinzi wa Data ya Kibinafsi:

    Dhibiti onyesho la maelezo ya ufikio kwenye usajili wa upigaji haraka. Teua On ili kuonyesha ufikio kama (***).