> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Upande wa Mbele na Nyuma wa Kadi ya Kitambulisho kwenye Upande Mmoja wa Karatasi

Kunakili Upande wa Mbele na Nyuma wa Kadi ya Kitambulisho kwenye Upande Mmoja wa Karatasi

Hutambaza pande zote mbili za kadi ya utambulisho na hunakili upande mmoja wa karatasi.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mahiri, teua Nakala ya Kadi ya ID, kisha uwezeshe mipangilio.

  4. Bainisha Mwelekeo (Asili).

  5. Donoa .

    Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuweka upande mwingine wa asili.