> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.

Wakati Mtumaiji (Mteja) ni Kichapishi

Matumizi

Ufikio (Seva)

Itifaki

Nambari ya Kituo

Kutuma faili (Wakati tambaza kwenye folda ya mtandao inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya FTP/FTPS

FTP/FTPS (TCP)

20

21

Seva ya faili

SMB (TCP)

445

NetBIOS (UDP)

137

138

NetBIOS (TCP)

139

Seva ya WebDAV

Itifaki ya HTTP (TCP)

80

Itifaki ya HTTPS (TCP)

443

Kutuma barua pepe (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya SMTP

SMTP (TCP)

25

SMTP SSL/TLS (TCP)

465

SMTP STARTTLS (TCP)

587

POP kabla ya Muunganisho wa SMTP (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya POP

POP3 (TCP)

110

Wakati Epson Connect inatumika

Seva ya Epson Connect

HTTPS

443

XMPP

5222

Wakati Huduma za Rimoti ya Epson zinatumika

Seva ya Huduma za Rimoti ya Epson

Itifaki ya HTTPS (TCP)

443

Protocol MQTT (TCP)

443

Kukusanya maelezo ya mtumiaji (Tumia waasiliani walio kwenye kichapishi)

Seva ya LDAP

LDAP (TCP)

389

LDAP SSL/TLS (TCP)

636

LDAP STARTTLS (TCP)

389

Kipengele cha uhalalishaji wa mtumiaji

Seva ya KDC

Kerberos

88

WSD ya Udhibiti

Komptyuta ya mteja

WSD (TCP)

5357

Tafuta kompyuta wakati utambazaji wa kusukuma kutoka Document Capture Pro

Komptyuta ya mteja

Ugunduzi wa Mtandao wa Utambazaji wa Kusukuma

2968

Wakati Mtumaji (Mteja) ni Komptyuta ya Mteja

Matumizi

Ufikio (Seva)

Itifaki

Nambari ya Kituo

Kutuma faili (Wakati uchapishaji wa FTP unatumika kutoka kwenye kichapishi)

Kichapishi

FTP (TCP)

20

21

Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendfeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

ENPC (UDP)

3289

Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

SNMP (UDP)

161

Kusambaza data ya LPR

Kichapishi

LPR (TCP)

515

Kusambaza data ya RAW

Kichapishi

RAW (Port 9100) (TCP)

9100

Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS)

Kichapishi

IPP/IPPS (TCP)

631

Kutafuta kichapishi cha WSD

Kichapishi

WS-Discovery (UDP)

3702

Kusambaza data ya utambazaji kutoka Document Capture Pro

Kichapishi

Utambazaji wa Mtandao (TCP)

1865

Kukusanya maelerzo ya kazi wakati wa utambazaji wa kusukuma kutoka Document Capture Pro

Kichapishi

Utambazaji wa Kusukuma wa Mtandao

2968

Web Config

Kichapishi

HTTP (TCP)

80

HTTPS (TCP)

443

Kusambaza data ya FaxOut

Kichapishi

IPP FaxOut (TCP)

631

PC-FAX

Kichapishi

HTTP (TCP)

80

HTTPS (TCP)

443*

* Kituo tayarishi hiki hakipatikani nje ya Ulaya, Mashariki ya Kati, na Afrika.