> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha Hati kutoka Vifaa Maizi > Kuchapisha Ukitumia Mopria Print Service

Kuchapisha Ukitumia Mopria Print Service

Mopria Print Service huwezesha uchapishaji wa papo hapo wa pasi waya kutoka kwenye simu maizi au kompyuta ndogo za Android.

Sakinisha Mopria Print Service kutoka Google Play.

Kwa maelezo zaidi, fikia tovuti ya Mopria Web katika https://mopria.org.