> Kutatua Matatizo > Kubadilisha Kibweta cha Stepla

Kubadilisha Kibweta cha Stepla

Wakati wa kubadilisha kibweta cha stepla, ujumbe unaonyeshwa kwenye skrini ya LCD. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kubadilisha kibweta.

Muhimu:
  • Usiondoe kibweta isipokwa ikiwa ni kufuta rundo la stepla au kubadilisha mpya.

  • Usifungue sehemu inayoonyeshwa hapa chini.