> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows > Kuchapisha ili Itoshee Katika Ukubwa wa Karatasi

Kuchapisha ili Itoshee Katika Ukubwa wa Karatasi

Teua ukubwa wa karatasi uliyopakia kwenye kichapishi kama mpangilio wa Ukubwa wa Karatasi Elekea.

  1. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi cha Kuu, chukua hatua zifuatazo.

    • Ukubwa wa Waraka: teua ukubwa wa karatasi uliyoweka kwenye mipangilio ya programu.
    • Karatasi ya Zao: Teua ukubwa wa karatasi uliyoipakia katika kichapishi.
      Tosheleza kwenye Ukurasa imeteuliwa otomatiki.
    Kumbuka:

    Bofya Katikati ili kuchapisha tasiwra iliyopunguzwa katikati ya karatasi.

  2. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

    Kichupo cha Kuu

    Kichupo cha Chaguo Zaidi

  3. Bofya Chapisha.