Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mip'o ya Ucha'uzi
Mip'o ya Ucha'uzi
Thibitisha Mpokeaji
Angalia eneo pokezi kabla ya kutambaza.
Programu ya Unasaji Waraka
Ukitambaza kwa kutumia menyu ya Kompyuta kwenye paneli dhibiti, weka mipangilio ifuatayo ili kutazama kompyuta ambapo Document Capture Pro/Document Capture imesakinishwa.
Mi'pngilio ya Kundi
Wezesha mipangilio ya kikundi kwenye kichapishi. Tumia kipengee hiki wakati ambapo umewezesha mipangilio ya kikundi kwenye Document Capture Pro.
Hii ikiwezeshwa, weka nambari ya kikundi katika Kikundi.
Seva ya Barua pepe
Weka mipangilio ya seva ya barua pepe kwa Changanua kwa Barua pepe.
Teua Mipangilio ya Seva ili kubainisha mbinu ya uhalalishaji ili kichapishi kufikia seva ya barua pepe.