Iwapo mistari wima inaonekana kupangiliwa visivyo, pangilia mistari iliyopigwa.
Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Chagua Matengenezo > Mpangilio uliopigwa Mstari.
Fuata maagizo yaliyo kwenye krini ili kuchapisha ruwaza ya upangiliaji.
Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kupangilia mistari iliyopigwa. Tafuta na uingize idadi ya ruwaza ambayo ina mstari michache wima isiyopangiliwa vizuri.
