Suluhisho
Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza kwenye skrini ya nyumbani. Teua bidhaa unayotaka kubadilisha, na kisha uteue Hifadhi kwenye Kum'mbu kutoka Unda Folda ili Kuhifadhi. Huwezi kutumia kumbukumbu ya nje isipokuwa uweke mpangilio huu.