> Utambazaji > Mbinu Zinazopatikana za Utambazaji > Kutambaza kwa Kutumia Mopria Scan

Kutambaza kwa Kutumia Mopria Scan

Mopria Scan huwezesha uchanganuzi wa mtandao papo hapo kupitia simu mahiri au tableti za Android.

  1. Sakinisha Mopria Scan kutoka Google Play.

  2. Weka nakala za kwanza.

  3. Weka mipangilio ya kichapishi chako kwa uchanganuzi wa mtandao. Tazama kiungo cha hapa chini.

    Amerika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini

    Kuunganisha Kichapishi kwenye Mtandao

    Maeneo Mengine

    https://epson.sn

  4. Unganisha kifaa chako cha Android kwenye muunganisho pasiwaya (Wi-Fi) kwenye mtandao mmoja na ule ambao kichapishi chako kinatumia.

  5. Changua kutoka kwenye kifaa chako ukitumia kichapishi chako.

    Kumbuka:

    Kwa maelezo zaidi, fikia tovuti ya Mopria Web katika https://mopria.org.