> Katika Hali Hizi > Kuangalia Hali ya Muunganisho ya Mtandao wa Kichapishi (Ripoti ya Muunganisho ya Mtandao)

Kuangalia Hali ya Muunganisho ya Mtandao wa Kichapishi (Ripoti ya Muunganisho ya Mtandao)

Unaweza kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuangalia hali kati ya kichapishi na kipanga njia pasiwaya.

  1. Donoa kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Ufafanuzi > Wakati huwezi kuunganisha kwenye mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho.

    Ukaguzi wa muunganisho unaanza.

  3. Fuata maagizo kwenye skrini ya kichapishi ili kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao.

    Ikiwa hitilafu imetokea, wasiliana na msimamizi wako.