Unaweza kutuma faksi kutoka kwa kompyuta ukitumia FAX Utility na kiendeshi cha PC-FAX.
Kwa maelezo kuhusu jinsi ya kuendesha FAX Utility, tazama Basic Operations kwenye msaada wa FAX Utility (yanayoonyeshwa kwenye dirisha kuu).
Angalia iwapo FAX Utility na kiendeshi cha PC-FAX kimesakinishwa kabla ya kutumia kipengele hiki.
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Iwapo FAX Utility haijasakinishwa, sakinisha FAX Utility kwa kutumia EPSON Software Updater (programu tumizi kwa kusasisha programu).
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)