Kipengele: Kupokea Faksi

Kuweka Hali ya Kupokea

Kupokea Faksi Kwa Kutumia Simu Iliyounganishwa

Unaweza kupokea faksi kwa kujibu tu simu kwa kifaa cha nje cha simu.

Pokea kwa Mbali:

KuundaKuunda Mipangilio Wakati Unaunganisha Kifaa cha Simu

Mafikio ya Faksi Zilizopokewa

Matokeo bila hali:

Faksi zilizopokelewa zinachapishwa bila masharti kwa chaguomsingi. Unaweza kuweka maeneo ya faksi zililzopokelewa kwenye kikasha pokezi, kompyuta, kumbukumbu ya nje, barua pepe, folda au faksi nyingine.

Hifadhi/Sambaza bila masharti:

Kuweka Mipangilio ya Kupokea Faksi

Mipangilio ya Usambazaji ili Kupokea Faksi

Iwapo utahifadhi kwenye kikasha pokezi, unaeweza kuangalia maudhui kwenye skrini.

Mipangilio ya Kikasha pokezi:

Kutazama Faksi Zilizopokewa kwenye Skrini ya LCD ya Kichapishi

Toleo wakati ambapo hali zinalingana:

Unaweza kuweka maeneo ya faksi zilizopokelewa kwenye kikasha pokezi au kisanduku cha siri, kumbukumbu ya nje, barua pepe, folda au faksi nyingine wakati masharti yaliyobainishwa yametimizwa. Iwapo utahifadhi kwenye kikasha pokezi au kisanduku cha siri, unaeweza kuangalia maudhui kwenye skrini.