Kuchapisha kwa Kijajuu na Kijachini

Unaweza kuchapisha maelezo kama vile jina la mtumiaji na tarehe ya kuchapisha kwenye vijajuu na vijachini.

  1. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi Chaguo Zaidi, bofya Vipengele vya Taswira fifi, kisha uteue kisanduku cha kuteua cha Kijajuu/Kijachini.

  2. Teua Mipangilio, kisha uteue vipengee unavyotaka kuhapisha, ana ubofye OK.

    Kumbuka:
    • Ili kubainisha nambari ya ukurasa wa kwanza, teua Nambari ya Ukurasa kutoka kwenye nafasi unapotaka kuchapisha katika kichwa na chini kisha uteue Nambari ya kuanzia.

    • Iwapo unataka kuchapisha matini katika sehemu ya kichwa au chini, teua nafasi unayotaka kuchapisha,kisha uteue Matini. Andika matini unayotaka kuchapisha kwenye sehemu ya kuingiza matini.

  3. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

    Kichupo cha Kuu

    Kichupo cha Chaguo Zaidi

  4. Bofya Chapisha.