> Katika Hali Hizi > Kuunganisha Moja kwa Moja kwenye Kichapishi (Wi-Fi Direct) > Kukatisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi)

Kukatisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi)

Kumbuka:

Wakati muunganisho wa Wi-Fi Direct wa (AP Rahisi) unalemazwa, kompyuta zote na vifaa maizi vilivyounganishwa kwenye kichapishi katika muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) vinatenganishwa. Iwapo unataka kukata muunganisho wa kifaa maalum, kata muunganisho kutoka kwenye kifaa badala ya kichapishi.

  1. Donoa kwenye skrini ya nyumbani ya printa.

  2. Teua Wi-Fi Direct.

    Maelezo ya Wi-Fi Direct yanaonyeshwa.

  3. Donoa Anza Kusanidi.

  4. Donoa .

  5. Teua Lemaza Wi-Fi Direct.

  6. Donoa Lemaza mipangilio.

  7. Fuata maagizo ya kwenye skrini.