> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Nakala Asili Bila Vivuli au Mashimo Yaliyotobolewa

Kunakili Nakala Asili Bila Vivuli au Mashimo Yaliyotobolewa

Unaweza kunakili nakala asili bila vivuli au mashimo yaliyotobolewa au kurekebisha ubora wa picha.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mahiri, kisha uwezeshe Ondoa Kivuli au Ond. Mas'o ya Panchi au urekebishe ubora wa taswira Ubora wa Taswira.

  4. Donoa .