> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kwenye Pande 2

Kunakili kwenye Pande 2

Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

  1. Weka nakala zote asili zikiwa zinaangalia juu katika ADF.

    Muhimu:

    Iwapo unataka kunakili nakala asili ambazo haziauniwi na ADF, tumia glasi ya kitambazaji.

    Nakala asili ambazo Haziauniwi na ADF

    Kumbuka:

    Pia unaweza kuweka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo Mipangilio Msingi, teua Pande 2, na kisha uteue chaguo la menyu ya pande 2 unayotaka kutekeleza.

  4. Bainisha mipangilio mingine kama vile mwelekeo asili na nafasi ya uunganishaji.

  5. Donoa .