Unaweza kuangalia maelezo yafuatayo ya kutumia kichapishi kutoka Status kwa kutumia Web Config.
Product Status
Angalia hali mbalimbali, huduma ya wingu, toleo la programu msingi, toleo la cheti lakiini, nambari tambulishi, anwani ya MAC, nk.
Iwapo umesajili maelezo katika Administrator Name/Contact Information kwenye kichupo cha Device Management, maelezo ya msimamizi yanaonyeshwa kwenye kichupo cha Hali.
Network Status
Kagua maelezo ya Network, Wi-Fi Direct.
Usage Status
Kagua siku ya kwanza kuchapisha, Printing Information, Number of Pages Sorted by Size , Total Number of Pages Sorted by Function, Total Number of Pages Sorted by Print Language,Pages(Fax), Total Number of Pages Sorted by Interface.
Kagua siku ya kwanza ya uchapishaji, Printing Information, Number of Pages Sorted by Size , Total Number of Pages Sorted by Function, Total Number of Pages Sorted by Print Language, Total Number of Pages Sorted by Interface.
Hardware Status
Angalia hali kwa kila utendakazi wa kichapishi.
Job History
Angalia kumbukumbu ya kazi kwa kazi za uchapishaji, kazi za uwasilishaji na mengineyo.
Panel Snapshot
Onyesha taswira ya kijipicha kwenye skrini inayoonyeshwa kwenye panelii dhibiti ya kifaa.