Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.
Huwezi kuonyesha menyu hii kwenye skrini ya Web Config.
Kuteua Kagua Muunganisho wa Faksi huhakikisha kuwa kichapishi kimeunganishwa kwenye laini ya simu na tayari kusambaza faksi. Unaweza kuchapisha matokezo ya ukaguzi kwenye karatasi tupu ya ukubwa wa A4.