Epson
 

    EM-C8101 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Kutayarisha Kichapishi na Kufanya Mipangilio ya Kwanza > Kuunda Muunganisho wa Mtandao na Kufanya Mipangilio > Kutatua Miunganisho ya Mtandao > Haiwezi Kuunganishwa kwenye Mtandao

    Haiwezi Kuunganishwa kwenye Mtandao

    • Anwani ya IP haijapangiwa ipasavyo.

    • Kichapishi kimeunganishwa kwa Ethaneti kwa kutumia vifaa vinavyotumia IEEE 802.3az (Ethaneti Inayotunza Nishati).

    • Tatizo fulani limetokea kwenye kifaa cha mtandao kwa muunganisho wa Wi-Fi.

    • Vifaa haviwezi kupokea mawimbi kutoka kwenye kipanga njia pasiwaya kwa sababu vimetenganishwa kwa mbali sana.

    • Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, mipangilio hailingani na kipanga njia kipya.

    • SSID zilizounganishwa kutoka kompyuta au kifaa maizi na komyuta ni tofauti.

    • Kitenganishi cha faragha kwenye kipanga njia pasiwaya kinapatikana.

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2024-2025 Seiko Epson Corp.