Wakati kichapishi na kompyuta zimeunganishwa kwa kutumia Wi-Fi Direct, huwezi kufikia mtandao kutoka kwenye kompyuta. Ikiwa unahitaji kuunganisha kwenye kichapishi kila wakati, tunapendekeza utumie muunganisho wa Wi-Fi.
Fikia tovuti ya Epson na upakue kiendeshi cha kichapishi cha kichapishi chako kwenye kompyuta ili kiunganishwe kwenye kichapishi.
Teua
, na kisha uteue Wi-Fi Direct.
Teua Anza Kusanidi.
Teua Mbinu Nyingine.
Teua Vifaa Vingine vya OS.
Jina la Mtandao(SSID) na Nenosiri kwa Wi-Fi Direct vya kichapishi huonyeshwa.
Kwenye skrini ya kompyuta ya kuunganisha mtandao, teua SSID iliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, na kisha uingize nenosiri.

Bofya mara mbili kiendeshi cha kichapishi kilichopakuliwa kwenye kompyuta ili kukisakinisha.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.
Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, teua Imekamilika.