Hifadhi picha iliyochanganuliwa kwenye folda iliyobainishwa kwenye mtandao.
Unahitaji kuweka mipangilio mapema. Angalia kiungo kifuatacho kwa maelezo kuhusu kazi ya kutengeneza mipangilio.
Kutayarisha Changanua kwa Folda/FTP ya Mtandao Kipengele
Hakikisha kwamba mipangilio ya Tarehe/Saa na Utofauti wa Saa ya kichapishi ni sahihi. Fikia menyu kutoka Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Mipangilio ya Tarehe/Saa.
Weka nakala za kwanza.
Teua Changanua > Folda/FTP ya Mtandao kwenye paneli dhibiti.
Bainisha ufikio.
Unaweza kuchapisha historia ya kabrasha ambalo nyaraka zinahifadhiwa kwa kuteua
.
Teua Mip'o ya Ucha'uzi, na kisha angalia mipangilio kama vile umbizo la kuhifadhi, na uibadilishe ikiwezekana.
Teua
ili kuhifadhi mipangilio yako kama iliyowekwa awali.
Donoa
.