Iwapo mistari wima inaonekana kupangiliwa visivyo, pangilia mistari iliyopigwa.
Teua Matengenezo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Mpangilio uliopigwa Mstari.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.