> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha Nyaraka kutoka Vifaa Maizi (iOS) > Kuchapisha Nyaraka Ukitumia Epson Smart Panel

Kuchapisha Nyaraka Ukitumia Epson Smart Panel

Kumbuka:

Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.

  1. Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya.

  2. Ikiwa Epson Smart Panel haijasakinishwa, isakinishe.

    Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)

  3. Unganisha kifaa chako maizi kupitia kipanga njia pasiwaya.

  4. Anzisha Epson Smart Panel.

  5. Teua menyu ya kutambaza waraka kwenye skrini ya nyumbani.

  6. Teua waraka unaotaka kuchapisha.

  7. Anza kuchapisha.