Fuata hatua zilizo hapa chini ili kubadilisha muunganisho kutoka Wi-Fi hadi muunganisho wa Ethaneti.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Usanidi wa Lana ya Waya.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.