> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Bila Pambizo

Kunakili Bila Pambizo

Hunakili bila pambizo kwenye kingo. Taswira imekuzwa kidogo ili kuondoa pambizo kutoka kwenye kingo za karatasi.

  1. Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uwezeshe Nakala Isiyo na mipaka.

  4. Bainisha Upanuzi.

  5. Bonyeza kitufe cha .