> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.

Mtumaji (Mteja)

Matumizi

Ufikio (Seva)

Itifaki

Nambari ya Kituo

Kichapishi

Wakati Epson Connect inatumika

Seva ya Epson Connect

HTTPS

443

XMPP

5222

WSD ya Udhibiti

Komptyuta ya mteja

WSD (TCP)

5357

Tafuta kompyuta wakati utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart

Komptyuta ya mteja

Ugunduzi wa Mtandao wa Utambazaji wa Kusukuma

2968

Komptyuta ya mteja

Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendfeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

ENPC (UDP)

3289

Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

SNMP (UDP)

161

Kusambaza data ya LPR

Kichapishi

LPR (TCP)

515

Kusambaza data ya RAW

Kichapishi

RAW (Port 9100) (TCP)

9100

Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS)

Kichapishi

IPP/IPPS (TCP)

631

Kutafuta kichapishi cha WSD

Kichapishi

WS-Discovery (UDP)

3702

Kusambaza dfata ya utambazaji kutoka Epson ScanSmart

Kichapishi

Utambazaji wa Mtandao (TCP)

1865

Kukusanya maelerzo ya kazi wakati wa utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart

Kichapishi

Utambazaji wa Kusukuma wa Mtandao

2968