> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kwenye Pande 2

Kunakili kwenye Pande 2

Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

  1. Weka nakala zote asili zikiwa zinaangalia juu katika ADF.

    Kuweka Nakala Asili

    Muhimu:

    Iwapo unataka kunakili nakala asili ambazo haziauniwi na ADF, tumia glasi ya kitambazaji.

    Nakala asili ambazo Haziauniwi na ADF

    Kumbuka:

    Pia unaweza kuweka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  3. Teua kichupo cha Nakili, na kisha uteue (Pande 2) > 1>Pande 2.

  4. Bainisha mwelekeo asili na mkao wa kubana, na kisha uteue Sawa.

  5. Bonyeza kitufe cha .