Unaweza kuunganisha kifaa maizi kwenye kichapishi ukitumia moja kati ya mbinu zifuatazo.
Unganisha kifaa maizi kwenye mtandao ule ule wa Wi-Fi (SSID) kama kichapishi.
Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi.
Unganisha kifaa maizi kwenye kichapishi moja kwa moja bila kipanga njia pasiwaya.
Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi.
Kuunganisha Kifaa Maizi na Kichapishi Moja kwa Moja (Wi-Fi Direct)