Kabla ya kutumia kipengele hiki, fanya mipangilio kwa kutumia kipengele cha Epson Connect. Tazama tovuti ifuatayo ya kituo Epson Connect kwa maelezo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)
Weka nakala za kwanza.
Teua Changanua > Wingu kwenye paneli dhibiti.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Teua
upande wa juu wa skrini, na kisha uteue mafikio.
Unda mipangilio ya utambazaji.
Bonyeza kitufe cha
.