Unaweza kuunganisha kiotomatiki kwenye kipanga njia pasiwaya kwa kutumia msimbo wa PIN. Unaweza kutumia mbinu hii kuweka ikiwa kipanga njia pasiwaya kina uwezo wa WPS (Usanidi wa Wi-Fi Uliolindwa). Tumia kompyuta kuingiza msimbo wa PIN katika kipanga njia pasiwaya.
Teua
kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Teua Wi-Fi (Inapendekezwa).
Iwapo tayari kichapishi kimeunganishwa na Ethaneti, teua Kipangishi njia.
Bonyeza kitufe cha OK.
Iwapo tayari muunganisho wa mtandao umesanidiwa, maelezo ya muunganisho yanaonyeshwa. Teua Badilisha Mipangilio ili kubadilisha mipangilio.
Iwapo kichapishi tauari kimeunganishwa kwa Ethaneti, teua Badilisha kwa muunganisho wa Wi-Fi., na kisha uteue Ndiyo baada ya kuangalia ujumbe.
Chagua Nyingine > Usanidi Msimbo PIN (WPS).
Tumia kompyuta yako kuingiza msimbo wa PIN (nambari ya herufi nane) inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hadi kwenye kipanga njia pasiwaya ndani ya dakika mbili.
Tazama waraka uliotolewa kwa kipanga njia pasiwaya chako kwa maelezo kuhusu kuweka msimbo wa PIN.
Bonyeza kitufe cha OK kwenye kichapishi.
Funga skrini.
Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.
Iwapo muunganisho utashindikana, washa upya kipanga njia pasiwaya, lisogeze karibu na kichapishi, na ujaribu tena. Iwapo haitafanya kazi, chapisha ripoti ya muunganisho na uangalie suluhisho.
Bonyeza kitufe cha
.