Karatasi Halali ya Epson

Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.

Kumbuka:
  • Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu aina za karatasi zinazopatikana kwa uchapishaji usio na mipaka na wa pande 2.

    Karatasi la Kuchapishwa Bila Mipaka

    Karatasi la Kuchapishwa Upande 2

  • Wakati unachapisha kwenye karatasi halisi ya Epson kwa ukubwa uliowekwa na mtumiaji, mipangilio ya ubora wa chapa wa Wastani au Normal ndio hupatikana tu. Ijapokuwa baadhi ya viendeshi vya printa hukuruhusu uchague ubora wa juu wa chapa, chapa huchapishwa kwa kutumia Wastani au Normal.

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Bright White Ink Jet Paper

A4

200

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka na picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Photo Quality Ink Jet Paper

A4

100

Epson Double-sided Photo Quality Ink Jet Paper

A4

80

Epson Matte Paper-Heavyweight

A4

20

Epson Double-Sided Matte Paper

A4

1

Karatasi linalofaa kwa kuchapisha picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Ultra Glossy Photo Paper

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.)

20

Epson Premium Glossy Photo Paper

A4, 13x18 cm (5x7 in.), 16:9 upana wa ukubwa (102x181 mm), 10x15 cm (4x6 in.)

20

Epson Premium Semigloss Photo Paper

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.)

20

Epson Photo Paper Glossy

A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.)

20

Aina nyingine mbalimbali za karatasi

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Photo Quality Self Adhesive Sheets

A4

1