> Mwongozo kwa Mwongozo Huu > Utangulizi wa Miongozo

Utangulizi wa Miongozo

Miongozo ifuatayo hutumika na kichapishi chako cha Epson. Pamoja na miongozo, angalia aina mbalimbali ya maelezo ya usaidizi yanayopatikana kwenye kichapishi chenyewe au kwenye programu za Epson.

  • Maagizo Muhimu ya Usalama (mwongozo wa karatasi)

    Hukupa maagizo ya kuhakikisha usalama wa printa hii.

  • Anza Hapa (mwongozo wa karatasi)

    Hukupa maelezo kuhusu kuweka printa na kusakinisha programu.

  • Mwongozo wa Mtumiaji (mwongozo wa dijitali)

    Mwongozo huu. Mwongozo huu unapatikana katika mionmgozo ya PDF na Wavuti. Hutoa maelezo ya jumla na maagizo kuhusu kutumia kichapishi, kwenye mipangilio ya mtandao unapotumia kichapishi kwenye mtandao, na kutatua matatizo.

    Mwongozo huu unatumika kwa ET-3850 Series/L6270 Series na ET-3800 Series/L6260 Series. Hata hivyo, ADF (Kiingizaji Waraka Otomatiki) unapatikana kwenye ET-3850 Series/L6270 Series pekee.

Unaweza kupata matoleo mapya ya miongozo iliyo hapa juu kwa kutumia mbinu zifuatazo.