> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Nakala Asili Kwa Kutumia Ubora Unaofaa

Kunakili Nakala Asili Kwa Kutumia Ubora Unaofaa

Unaweza kunakili anakala asili bila vivuli na mashimo yaliyotobolewa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Iwapo unataka kunakili nakala asili nyingi, weka nakala zote asili kwenye ADF.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, teua Ondoa Kivuli au Ondoa Mashimo ya Panchi, na kisha uwezeshe mpangilio.

  4. Bonyeza kitufe cha .