> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu > Programu ya Kuchapisha > Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS) > Kufikia Dirisha la Mipangilio ya Operesheni la Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS

Kufikia Dirisha la Mipangilio ya Operesheni la Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS

Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), kisha uteue kichapishaji. Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi).