> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Unaweza kunakili nakala asili kwa upanuzi uliobainishwa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Iwapo unataka kutambaza nakala asili nyingi, weka nakala zote asili kwenye ADF.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uteue Kuza.

  4. Bainisha kiwango cha kupanua au kupunguza, na kisha uteue Sawa.

  5. Bonyeza kitufe cha .